Basi mtiini Mungu.Mpingeni Shetani,naye atawakimbia Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi.Itakaseni mikono yenu, enyi wenye dhambi,na kuishafisha mioyo yenu,enyi wenye nia mbili{Yakobo 4:7-8} Submit yourselves then, to God, Resist the devil,and he will flee from you.come near to God and he will. come near you.wash your hands you sinners and purify your hearts you double minded.{James 4:7-8}NIV
27/11/2014
HAPO MWANZO
Hapo mwanzo ulimwengu huu ulikuwa ukiwa na roho ya MUNGU ilikuwa juu ya vilindi vya maji ndipo BWANA akaamua kuufanya upya ulimwengu huu katika kazi yake aliyofanya ulimwengu huu uliwekwa katika madhari nzuri na hali ya kupendeza sana katika kazi yake ya juma zima aliweza kufanya viumbe watakaoishi katika ulimwengu huu wenye madhari nzuri ya yakipee ebu twende pamoja tuone ni mambo gani na hali gani iliyoleta maaafa hapo baadae
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)