Lebo

07/02/2015

MIKUTANO MIKUBWA YA UTUME ILIYOKUWA IKIFANYIKA KATIKA UWANJA WA TAIFA IMEFIKIA TAMATI JANA.

Ni kweli na ajabu ya aina yake MUNGU aliweza kuifanikisha mikutano hii nayo iliweza kumalizika SALAMA kwa maana kwa upendo wa ajabu alileta WINGU ambalo liliweza kuzuia JUA na JOTO kali lisiweze kuumiza watu wake na kufanya hali ya hewa kuwa SHWARI na MIBARAKA iliwafikia WOTE kama alivyokusudia na katika mikutano hii WATU WALIOBATIZWA walikuwa ELFU MBILI MIANNE NA TISA (2409) jina la BWANA lipewe SIFA.

 kwa kadiri jinsi  muda  ulivyozidi  kuwa  unasonga  mbele  idadi  ya  watu  waliokuja  kufata  mibaraka  toka  kwa MUUMBAJI  wao   alikuwa ikiongeza  maradufu
Kwamwe  WAADVENTISTA  hata  wakuja  kuisahau  idara  ya  watoto  na  kwetu  watoto  wana  nafasi  kubwa  sana  maana  wao wakulelewa na  kupewa  maadili  MEMA  wanaweza  kuwa  changu  ya  maendeleo  na  mafanikio  ya   JAMII yoyote  katika  ulimwengu  huu  tazama  hapa ni  watoto  kutoka  katika  shule inayofundisha  na  kuzingatia  MISINGI  ya  elimu ya  KISABATO toka  HERITAGE
Na  hawa  ni  watoto  walio  katika  chama  cha  watafta  njia  chama   hiki  kina  wanafundisha  mambo  mengi  sana kama  afya ya miili yao,masomo  ya wanyama, bila kusahau elimu ya  BIBLIA na  kuwafanya  wawe na elimu  bora  na  nidhamu  tele