Lebo

22/01/2015

FANYA MAOMBI YA DHATI KWA WATUMISHI HAWA.

Kamati Kuu ya Union ya Kusini mwa Tanzania ya Kanisa la Waadventista wa Sabato, leo imefanya mabadiliko ya wakurugenzi ambapo Mchungaji Sadock Butoke aliyekuwa Katibu Mkuu wa iliyokuwa Konferensi ya Mashariki mwa Tanzania anakuwa Mkurugenzi wa Uwakili, Majengo, Shule ya Sabato na Huduma binafsi wa Kusini mwa Tanzania, akichukua nafasi ya Rabson Nkoko aliyechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya ya Konferensi ya Nyanda za Juu Kusini. Idara ya Mawasiliano sasa itashikwa na mchungaji Stephen Letta, ambaye ataendelea kushika pia nafasi ya Katibu wa Wachungaji na Mkurugenzi wa Huduma za Familia na VOP. Tuwaombee katika majukumu yao haya mapya.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Tuandikie maoni yako hapa. Leave your comments here